MADHALI YA HOTEL

 
Hii ndio Hotel ya Top one Inn muonekano wa mbela
Top one inn hotel
 Muonekano wa mbele
 Mandhali ya kuvutia




Muonekano wa hotel ya top one Inn kwanyuma
Muonekano
Muonekano wa Upande wa kulia kwa nyuma
Sehemu ya kupumzikia
Inavyumba safi vya kulala na vyenye ubora wa hali ya juu
Vitanda vya kulala ni sita kwa sita 
Vitanda safi , mashuka safi, blangeti safi na taulo safi
Jiko safi na la kisasa
Wapishi waliobobea katika fani ya mapishi pia utapata kila aina ya vyakula
Bar ya kisasa
Kila aina ya kinywaji kipo
Gyme ya kisasa
Moja ya wadau wakifanya mazoezi


No comments:

Post a Comment

TUPE MAONI YAKO